1. Lengo La kibubu ni kuunganisha nguvu na umoja Kwa watoto wa Mzee Juma wote
2. Kama kuna mawazo yoyote ya kuboresha kibubu ni ruhsa kuyaleta humu na sio nje ya kibubu.
3. Hairuhusiwi kutoa taarifa zozote ndani ya kibubu na kuzipeleka nje Kwa asiye kuwa mwanakibubu.
4. Kutoa taarifa za kibubu na kuzipeleka nje Kwa asiyekuwa mwanakibubu ni kuvunja kanuni za kibubu.
5. Taarifa zote za kibubu zitabaki kuwa siri na Mali ya kibubu.
No comments:
Post a Comment