Monday, 3 December 2018

Michango Ya Harusi ya Wanakibubu

1. Fatma Juma ..100,000
2. Fatma Juma ...40,000
3. Sman Juma ...40,000
4. Raya Juma.....40.000
5. Mohd Juma.   40,000
6. Sharafe Juma.. 40,000
7. Ali Juma.    ..... 100,000
8. Maryam Juma ..40,000
9. Salim Juma.      40,000
10. Hafsa Juma. ...40,000
Jumla.    Tshs.  520,000

Masharti Ya Kibubu


1. Lengo La kibubu ni kuunganisha nguvu na umoja Kwa watoto wa Mzee Juma wote
2. Kama kuna mawazo yoyote ya kuboresha kibubu ni ruhsa kuyaleta humu  na sio nje ya kibubu.
3. Hairuhusiwi kutoa taarifa zozote ndani ya kibubu na kuzipeleka nje Kwa asiye kuwa mwanakibubu.
4. Kutoa taarifa za kibubu na kuzipeleka nje Kwa asiyekuwa mwanakibubu ni kuvunja kanuni za kibubu.
5. Taarifa zote za kibubu zitabaki kuwa siri na Mali ya kibubu.